Kenya Jumanne hii imewaamuru wakimbizi wa Somalia
wanaoishi mijini kurudi katika kambi zao katika juhudi za kukomesha
mashambulizi ya wanamgambo wa ash Shabab yanayotekelezwa kulipiza kisasi
dhidi ya hatua ya Kenya ya kutuma wanajeshi wake katika nchi jirani ya
Somalia.
0 comments: