Kauli hiyo ya Rais Kikwete aliitoa jana
alipokutana na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao katika Jamhuri ya Watu
wa China,
Kauli hiyo inapingana na ile ya Mwanasheria Mkuu wa Tanzania (AG), Jaji Frederick Werema ya hivi karibuni kwamba kura hiyo ingefanyika Machi 30, mwakani.
Kauli hiyo inapingana na ile ya Mwanasheria Mkuu wa Tanzania (AG), Jaji Frederick Werema ya hivi karibuni kwamba kura hiyo ingefanyika Machi 30, mwakani.
Alisema ikiwa mambo ya fedha yatakwenda kama
alivyosema AG, Tume itajitahidi kwa kipindi hicho cha miezi mitatu
kukamilisha kazi hiyo.
“Watanzania wasione kitu cha ajabu sana, sisi
tumechelewa. Halafu sisi tutatumia mfumo huu kwa kuandikisha tu na si
ile wanayoita E voting (kupiga kura kwa mtandao),” alisema.
Alisema Kenya haikutumia mfumo huo katika kuandikisha pekee, bali na katika kusafirisha takwimu tofauti na Tanzania ambayo itatumia katika uandikishaji tu. Source:Mwananchi.
Alisema Kenya haikutumia mfumo huo katika kuandikisha pekee, bali na katika kusafirisha takwimu tofauti na Tanzania ambayo itatumia katika uandikishaji tu. Source:Mwananchi.
0 comments: