Showing posts with label nice studio. Show all posts

Wednesday, March 2, 2016

Wadau mbalimbali wameisifu kazi nzuri iliyofanywa na NiceMedia Production.kwa nyakati tofauti Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi wamesema wamebahatika kuona nyimbo zlizofanyika NiceMedia na kusema kuwa zinaubora unaokubalika kimataifa ambapo wametolea mfano baadhi ya nyimbo ambazo wamezitazama kupitia You Tube ambapo wamezitaja nyimbo hizo kuwa ni wimbo Unaozungumzia mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi yaani Albino ulioimbwa na Mr&Mrs Elihuruma Chao unaoitwa Abino hawana hatia na kusema kwamba Wimbo huo umekidhi vigezo vyote vya kimataifa.Wameendelea kusema kuwa Wimbo mwingine ambao umeonekana kuwa bora ni ule ulioimbwa na Oculy Pendaely unaoitwa Najivunia kuwa na yesu ambao unabeba album yake ya kwanza iitwayo Najivunia Kuwa na Yesu. Tazama wimbbo huu wa OCULY pendaely ambao umefanyika katika studio za NiceMedia Production Arusha chini ya producer Elihuruma Chao ambae ndie aliyifanya Audio ya wimbo huu pamoja na Shooting ya Albam ya mwimbaji Oculy Pendaeli iitwayo najivunia kuwa na Yesu ikiwa ina nyimbo takriban nane.Ukibahatika kupata albam hii utabarikiwa zaidi. NiceMedia ni studio ambayo inarekodi nyimbo za injili Pekee pamoja na matukio mmbalimbali kama vile Vipindi vya radio na Televishei,Harusi ,Ubarikio nk.

WADAU WAIPONGEZA NICEMEDIA PRODUCTION ARUSHA KWA KUFANYA KAZI ZENYE UBORA..

at 11:55:00 AM  |  No comments

Read More

Friday, February 5, 2016

Tazama video ya wimbo mpya ulioimbwa na Mr&Mrs Elihuruma Chao wimbo huu unaoitwa Albino hawana hatia unaozungumzia juu ya mauaji ya mauwaji ya vikongwe na Albino wanavyouwawa bila ya hatia yoyote Tazama na usambaze ujumbe huu..

Tazama Wimbo mpya wa video Unaozungumzia Mauaji Ya Albino...Jionee Mwenyewe

at 9:20:00 AM  |  No comments

Tazama video ya wimbo mpya ulioimbwa na Mr&Mrs Elihuruma Chao wimbo huu unaoitwa Albino hawana hatia unaozungumzia juu ya mauaji ya mauwaji ya vikongwe na Albino wanavyouwawa bila ya hatia yoyote Tazama na usambaze ujumbe huu..

Read More

Monday, November 24, 2014

Jacob Issac ni mwimbaji Aliyerecod Kwa mara ya kwanza kabisa Ikiwa ni Albam yake
ya kwanza kurekodi na anakiri kuona mafanikio Disgn ya kava imefanyika
Nice Studio Arusha

Nice Studio ni Studio ambayo ipo Majengo Jijini Arusha ambayo inajishughulisha na mambo mbalimbali yanayohusu Recording na Editing pia Nice Studio wanafanya Disgn ya vitu mbalimbali.Kwakuwa umetembelea blog yetu Utapata kujua mambo mbalimbali yanayohusu Nice Studio...
    
         Nace Studio inajihusisha na Kurekodi Nyimbo za Injili Tu.Ambapo tunawataalam waliobobea kwenye utengenezaji wa music yaani Beat wakiwa ni walim wa kwaya na vikundi vya Sifa na Kuabudu makanisani.Ukiwa kama ni mwimbaji anaeanza kuimba au kama ni mara ya kwanza kurekodi Producer na walimu wanakuwa na wakati wa kukuelekeza ili uweze kuimba katika ubora unaostahili.Nice Studio imetoa msaada kwa waimbaji mbalimbali wa injili ambapo pia utapata kusikiliza kazi zao hapahapa katika Blog hii.Nakutia moyo mtumishi wa Mungu kama unakarama ya uimbaji wasiliana na Nice Studio wanaweza kukupa msaada wa kutosha.
      
        Nice Studio pia Tunafanya video Shooting kwenye nyimbo za Injili na matukio Mbalimbali kama Vile Harusi,Kitchen Part,Ubarikio,Komunyo,Msiba Send Off,Birth Day Nk.Kwa viwango tofauti vya BEI kulingana na tukio unalofanya.
   Pia tunafanya Disgn za Kava za Audio CD,Video CD,Movie,Ubarikio,Harusi,Kitchen Party.Send Off Nk.Na haya ni Baadhi ya Makava  ya CD ambayo Yametengenezewa Nice Studio Arusha kwa Ubora wa Kimataifa.

              HUYU NI PRODUCER ALIYEJALIWA VIPAWA TOFAUTI NA MUNGU
      Unaweza kuwa na maswali mengi katika kichwa chako na kujiuliza ufanye nini katika Dunia hii ya Mungu ukiwa kama kijana wa kitanzania ili uweze kufikia malengo yale uliyojiwekea.huenda umesoma sana au hujasoma hupaswi kuogopa kwani lipo jibu la maswali yako.
Elihuruma Chao akiwa katika kava la cd yake mpya iitwayo Tuimbe kwa furaha.
Hii ni albam yake ya injili ya kwanza ambayo itatoka hivi karibuni kaa tayari kuipokea ewe mdau
ikiwa katika mfumo wa DvD.
 
Cava hili la CD Disgn yake Imefanyika Nice Studio pia nyimbo zimetengenezewa na kurekodiwa katika Studio za Nice Record Arusha.

CD hii Regina Yohana imerekodiwa na kutengenezwa na Nice Studio.
 BEI ZETU NI NAFUU SANA..
Usidharau kipawa chako..
Kwa Mawasiliano na msaada zaidi Tupigie Simu No.
0755 670258

NICE STUDIO YA JIJINI ARUSHA YAPANIA KUWAINUA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI.Tazama hapa.....

at 12:14:00 AM  |  No comments

Wednesday, March 26, 2014

MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO TAZAMA HII

at 5:01:00 AM  |  No comments

Read More

Monday, March 3, 2014

http://old.hulkshare.com/91eufbbxuhvk

Download my New Song Sema nasi=Mr & Mrs Elihuruma Chao

at 4:09:00 AM  |  1 comment

http://old.hulkshare.com/91eufbbxuhvk

Read More

Friday, April 13, 2012

.

Production 0f Radio 5 produced by  Elihuruma Chao 1-11-2008.

Radio 5 recording Studio in Arusha Tanzania

at 9:47:00 AM  |  No comments

.

Production 0f Radio 5 produced by  Elihuruma Chao 1-11-2008.

Read More

Text Widget

Blogger templates. Proudly Powered by Blogger.