Showing posts with label HIVI PUNDE. Show all posts

Thursday, September 3, 2015
Bw. Nasifu A Lema yu taabani Afrika kusini, anahitaji msaada wa ndugu zake Tan
at 4:23:00 AM |  No comments
HIVI PUNDEPosted by Unknown
Thursday, November 6, 2014
UFAULU WA MITIHANI YA DARASA LA SABA WAONGEZEKA NCHINI PITIA KUONA UFAULU HUO
at 4:48:00 AM |  No comments
Friday, October 31, 2014
Ajali mbaya daraja la Wami basi la Simba Mtoto na Lori baada break za Lori kufeli,
Dereva wa Lori amepoteza maisha hapohapo...

Hivi Punde.MTU MMOJA DEREVA WA LORI AMEFARIKI PAPOHAPO KATIKA AJALI MBAYA ILIYOHUSISHA BASI LA SIMBA MTOTO NA LORI MAENEO YA WAMI..Bofya hapa
at 2:58:00 AM |  No comments
Ajali mbaya daraja la Wami basi la Simba Mtoto na Lori baada break za Lori kufeli,
Dereva wa Lori amepoteza maisha hapohapo...
Read More
Dereva wa Lori amepoteza maisha hapohapo...
HIVI PUNDEPosted by Unknown
Sunday, April 13, 2014
Habari zinasema kuwa helikopta hiyo inayomilikiwa na jeshi la wananchi wa Tanzania, ilikuwa imebeba watu 4 akiwemo makamu wa rais Dk Bilal, mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Mecky Sadick, kamanda wa polisi wa kanda maalum Dar es salaam ‘Suleiman Kova’ pamoja na mpiga picha wa TBC George Kasembe.
Helikopta hiyo ilipata ajali wakati ikianza kuruka hewani lakini ikashindwa kuendelea kupaa na kuanguaka. Hakuna mtu aliyepoteza maisha, zaidi ya kupata majeraha madogo madogo ambayo waliweza kupatiwa matibabu.
Ya Mungu mengi : MAKAMU WA RAIS DK.BILAL, MKUU WA MKOA WA DAR NA KAMANDA KOVA WANUSURIKA KATIKA AJALI YA HELIKOPTA.Soma hapa
at 3:57:00 PM |  No comments
Habari zinasema kuwa helikopta hiyo inayomilikiwa na jeshi la wananchi wa Tanzania, ilikuwa imebeba watu 4 akiwemo makamu wa rais Dk Bilal, mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Mecky Sadick, kamanda wa polisi wa kanda maalum Dar es salaam ‘Suleiman Kova’ pamoja na mpiga picha wa TBC George Kasembe.
Helikopta hiyo ilipata ajali wakati ikianza kuruka hewani lakini ikashindwa kuendelea kupaa na kuanguaka. Hakuna mtu aliyepoteza maisha, zaidi ya kupata majeraha madogo madogo ambayo waliweza kupatiwa matibabu.
HIVI PUNDEPosted by Unknown
Saturday, March 29, 2014
DUKA la kuuza Rasta za wakina Dada (Urembo) limevamiwa na watu waliosadikika kuwa majambazi, Tukio hilo lijiri maeneo ya Kariakoo jijini Dar Es Salaam,
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari ni kwamba majambazi waliojaribu kufanya jaribio hilo baadhi yao wameuwawa na baadhi, Idadi kamili endelea kufatilia hapa maana waandishi pamoja na wadau bado wapo katika eneo la tukio kufatilia kwa kina,
MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI:MAJAMBAZI WAVAMIA DUKA LA RASTA ZA KINADADA KARIAKOO WAUWAWA PAPOHAPO. TAZAMA HAPA
at 2:50:00 PM |  No comments