Liberia
imeripoti kesi 11 za watu wanaoshukiwa kuambukizwa ugonjwa wa Ebola
huku wengine watano wakifariki dunia kufuatia kuenea kwa maambukizo hayo
katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika. Idara ya Afya ya Liberia
imeeleza kuwa kesi hizo ziligunduliwa katika wilaya za Zorzor, Lofa na
Foya huko karibu na mpaka wa pamoja wa nchi hiyo na Guinea.
0 comments: