.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa
habari kuhusu maadhimisho ya siku ya wachangia damu duniani yanayotarajia
kufanyika tarehe 14 Juni mwaka huu. Maadhimisho hayo kitaifa yanatarajia kufanyika
mkoani Dodoma. Kushoto ni Meneja Uendeshaji wa Mapngo wa Taifa wa damu salama,
Dkt. Abdu Juma.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza akizungumza na
waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya siku ya wachangia damu duniani
yanayotarajia kufanyika tarehe 14 Juni mwaka huu. Maadhimisho hayo kitaifa
yanatarajia kufanyika mkoani Dodoma. Kushoto ni Meneja Uendeshaji wa Mapngo wa
Taifa wa damu salama, Dkt. Abdu Juma na kulia ni Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma, Dkt. Caroline Damian.(PICHA NA ISMAIL NGAYONGA- MAELEZO)
0 comments: