Spika
wa Bunge, Job Ndugai akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia kwenye ukumbi
wa Bunge mjini Dodoma kuongoza kikao cha kwanza cha mkutano wa tatu
wa Bunge Aprili 19, 2016.
Ruth Owenya akiapa kuwa Mbunge kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Aprili 19, 2016.
Ritta Kabati akiapa kuwa Mbunge kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Aprili 19, 2016.
Spika
wa Bunge Job Ndugai (kulia) akimwapisha Ritta Kabati kuwa mbunge
kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Aprili 19, 2016. (Picha na ofisi ya
Waziri Mkuu)
Spika wa
Bunge, Job Ndugai akimwapisha Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mstaafu,
Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma
Aprili 10, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza, Waziri Kiongozi wa Zanzibar
Mstaafu , Shamsi Vuai Nahodha baada ya kuapishwa kuwa Mbunge, Bungeni
mjini Dodoma, Aprili 19, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bumbuli na Waziri wa
nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, January Makamba,
bungeni mjini Dodoma Aprili 19, 2016.
0 comments: