Wajumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji wakiangalia
sehemu ya kukusanyia maji kutoka mto Ruvu kwenye Mtambo wa Ruvu Chini.
Meneja
wa Mtambo wa Maji wa Ruvu Chini Mhandisi Emmanuel Makusa (katikati)
akiwaongoza Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na
Maji kutembelea Mtambo wa Maji wa Ruvu Chini,wilayani Bagamoyo kujionea
maendeleo yaliyofikiwa kufuatia kukamilika kwa ujenzi wa bomba lenye
urefu wa Kilometa 56 linalotoka katika mtambo huo kwenda jijini Dar es
salaam.
Meneja
wa Mtambo wa Maji wa Ruvu Chini Mhandisi Emmanuel Makusa akitoa
ufafanuzi kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na
Maji namna chumba cha kuongozea mitambo ya Ruvu chini kinavyofanya
Bagamoyo
kujionea maendeleo yaliyofikiwa kufuatia kukamilika kwa ujenzi wa bomba
lenye urefu wa Kilometa 56 linalotoka katika mtambo huo kwenda jijini
Dar es salaam.
Meneja
wa Mtambo wa Maji wa Ruvu Chini Mhandisi Emmanuel Makusa akizungumza
jambo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na
Maji Mhe. Mary Nagu wakati kamati hiyo ilipotembelea Mtambo wa Ruvu
Chini,wilayani Bagamoyo .Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugona Maji ( katikati) na
baadhi ya wajumbe wakimsikiliza kwa makini Meneja wa Mtambo wa Maji wa
Ruvu Chini Mhandisi Emmanuel Makusa mara baada ya kutembelea sehemu ya
kuchujia maji na kuchanganyia dawa.
0 comments: