Monday, November 24, 2014

NICE STUDIO YA JIJINI ARUSHA YAPANIA KUWAINUA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI.Tazama hapa.....

at 12:14:00 AM  |  No comments

     


Jacob Issac ni mwimbaji Aliyerecod Kwa mara ya kwanza kabisa Ikiwa ni Albam yake
ya kwanza kurekodi na anakiri kuona mafanikio Disgn ya kava imefanyika
Nice Studio Arusha

Nice Studio ni Studio ambayo ipo Majengo Jijini Arusha ambayo inajishughulisha na mambo mbalimbali yanayohusu Recording na Editing pia Nice Studio wanafanya Disgn ya vitu mbalimbali.Kwakuwa umetembelea blog yetu Utapata kujua mambo mbalimbali yanayohusu Nice Studio...
    
         Nace Studio inajihusisha na Kurekodi Nyimbo za Injili Tu.Ambapo tunawataalam waliobobea kwenye utengenezaji wa music yaani Beat wakiwa ni walim wa kwaya na vikundi vya Sifa na Kuabudu makanisani.Ukiwa kama ni mwimbaji anaeanza kuimba au kama ni mara ya kwanza kurekodi Producer na walimu wanakuwa na wakati wa kukuelekeza ili uweze kuimba katika ubora unaostahili.Nice Studio imetoa msaada kwa waimbaji mbalimbali wa injili ambapo pia utapata kusikiliza kazi zao hapahapa katika Blog hii.Nakutia moyo mtumishi wa Mungu kama unakarama ya uimbaji wasiliana na Nice Studio wanaweza kukupa msaada wa kutosha.
      
        Nice Studio pia Tunafanya video Shooting kwenye nyimbo za Injili na matukio Mbalimbali kama Vile Harusi,Kitchen Part,Ubarikio,Komunyo,Msiba Send Off,Birth Day Nk.Kwa viwango tofauti vya BEI kulingana na tukio unalofanya.
   Pia tunafanya Disgn za Kava za Audio CD,Video CD,Movie,Ubarikio,Harusi,Kitchen Party.Send Off Nk.Na haya ni Baadhi ya Makava  ya CD ambayo Yametengenezewa Nice Studio Arusha kwa Ubora wa Kimataifa.


              HUYU NI PRODUCER ALIYEJALIWA VIPAWA TOFAUTI NA MUNGU
      Unaweza kuwa na maswali mengi katika kichwa chako na kujiuliza ufanye nini katika Dunia hii ya Mungu ukiwa kama kijana wa kitanzania ili uweze kufikia malengo yale uliyojiwekea.huenda umesoma sana au hujasoma hupaswi kuogopa kwani lipo jibu la maswali yako.
Elihuruma Chao akiwa katika kava la cd yake mpya iitwayo Tuimbe kwa furaha.
Hii ni albam yake ya injili ya kwanza ambayo itatoka hivi karibuni kaa tayari kuipokea ewe mdau
ikiwa katika mfumo wa DvD.
 

Cava hili la CD Disgn yake Imefanyika Nice Studio pia nyimbo zimetengenezewa na kurekodiwa katika Studio za Nice Record Arusha.

CD hii Regina Yohana imerekodiwa na kutengenezwa na Nice Studio.
 BEI ZETU NI NAFUU SANA..
Usidharau kipawa chako..
Kwa Mawasiliano na msaada zaidi Tupigie Simu No.
0755 670258


Share
Posted by Unknown
About the Author

Write admin description here..

0 comments:

Text Widget

Blogger templates. Proudly Powered by Blogger.