Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo
walipokwenda yeye na Rais Kikwete kutoa pole na kuifariji familia ya
Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu
Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu Mbezi
kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015.
Rais Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma kikwete
wakimfariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi
na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba
aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar
es salaam leo March 1, 2015
0 comments: