Waizri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mtambo wa kukamu mafuta ya alizeti
wanaushirika wa Chato akiwa katika ziara ya mkoa wa Geita Machi 17,
2016. Kushoto ni Mwenyekiti wa Ushirika huo Elias Kaswahili.
Wasani
wa Katoro Geita wakicheza ngoma ya Kisukuma mara baada ya Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo Machi 17,
2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa hadhara katika mji wa Katoro , Geita Machi 17, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments: