Wa pili kulia ni Mgeni rasmi,Waziri wa sheria na Katiba Dkt Harisson Mwakyembe akiandika jambo wakati ripoti ya maoni ya jumla kuhusu uchaguzi Mkuu uliopita,aliyoipokea kutoka kwa Waandaaji CEMOT ikisomwa.
Mkuu wa Waandaaji wa Ripoti ya maoni ya jumla kuhusu uchaguzi Mkuu
uliopita (CEMOT),Dkt.Alexander Makulilo akisoma ripoti hiyo mbele ya
Wadau na walioshiriki kuiandaa ripoti hiyo.
0 comments: