Basi la J4 Express T677CYC lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza Coach T736AWJ leo asubuhi na watu zaidi ya 30 wanahofiwa kupoteza maisha huku webngine kadhaa wakijeruhiwa.
Ajali hiyo mbaya ambayo inaelezwa kuvunja rekodi ya matukio ya ajali ya baravbarani yakihusisha mabasi kuwahi kutokea kwa mwaka huu, imetokea katika eneo la daraja la sabasaba, Musoma wakati moja ya mabasi hayo yakiovateki gari lingine. itawajuza zaidi kuhusiana na tukio hilo.Baadhi ya mashuuhuda wakitizama basi la J4 Express lililogongana na basi la mwanza coach halipo pichani na wengine wakitoa msaaada wa kuokoa majeruhi toka katika basi hilo |
0 comments: