Moto mkubwa iliotokea usiku wa kuamkia leo katika vibanda vilivyopo
nyuma ya stendi ya Dala dala mjini Dodoma (Jamatini)
Baadhi ya mashuhuda waliokuwepo eneo hilo walidai chanzo cha moto huo kilionekana kutokea kwenye nguzo ya umeme iliyokuwa maeneo hayo ambapo inasemekana ndio sababu kubwa ya moto huo.
Wakazi wa mkoa wa dodoma wakijaribu kuokoa vitu vilivyokuwa ndani ya vibanda |
Wamiliki wa vibanda hivyo wakishuhudia vitu vikiungua na moto |
Gari la kuzima moto likiwasili eneo la tukio |
Picha zote na Josephine Kayagwa |
0 comments: