Taarifa
zilizotufikia za kusikitisha zinasema kwamba kumetokea mauaji katika
mgahawa wa Wama ulioko Gymkhana jijini Arusha(Pichani chini).
Tukio
hilo la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia leo na kusababisha watu
zaidi ya 8 kujeruhiwa vibaya, idadi ya waliopoteza maisha bado
haijajulikana, majeruhi wote wamepelekwa katika hospitali ya Seliani
jijini Arusha.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia leo na kusababisha watu zaidi ya 8 kujeruhiwa vibaya, idadi ya waliopoteza maisha bado haijajulikana, majeruhi wote wamepelekwa katika hospitali ya Seliani jijini Arusha.
0 comments: