Serikali wilayani Chunya imeruhusu uvuvi katika Ziwa Rukwa kwa kipindi cha Miezi mitano baada ya kufungwa kwa miezi sita iliyopita kutokana na kupungua kwa samaki. |
Mgeni Rasmi Afisa Tarafa ya Kiwanja, Shila Sheyo, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Chunya Deodatus Kinawiro akiongea na wananchi |
Julius Ngwita, Afisa Mifugo na Uvuvi wa Wilaya, akimkaribisha mgeni rasmi |
Diwani wa Kata ya Mbangala,Abraham Sambila |
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgeni rasmi |
0 comments: