Nyumbani kwa marehemu.
Baadhi ya ndugu na jamaa wakilia na kuomboleza.
Familia ya marehemu Deborah Said wakiwa na majonzi. Bango la kanisa alilokuwa akiongoza Mchungaji Deborah Said na mumewe Askofu John
Said. Mmoja wa waombolezaji, Cosmas Chidumule, akiimba kanisani.
Jeneza likiwa kanisani kwa ajili ya ibada. Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Nchi ya Ahadi, Harris Kapiga, akiwa kanisani kwa ajili ya msiba huo. Rafiki mkubwa wa marehemu, Mama Wilbroad Slaa (kushoto) akilia kwa uchungu. Kulia ni mume wa marehemu. Baadhi ya waimbaji na wasanii wakisalimiana. Mwimbaji Upendo Nkone akishiriki ibada ya mwimbaji mwenzake. Mtoto wa marehemu akiwa kazimia.
Binti pekee wa marehemu akiwa kapumzika baada ya kuzimia.
Umati wa watu ulifurika makaburini.
0 comments: