Mwenyekiti akikabidhiwa cheti.
kilifanikiwa kumaliza zoezi la uhakiki mara baada ya kuruka vihunzi vingi tokakwa wahafidhina na watu wasiopenda siasa za ushindani. Katika zoezi letutumekumbana na vikwazo vingi ikiwa pamoja na uchomekaji wa wanachama fakewaliotumwa kwaajili ya kazi ya kujifanya wako tayari kuhakikiwa lakini kwalengo la kutojitokeza siku ya kuhakikiwa, jambo ambalo wahafidhina na maaduizetu walikuwa hawajui ni kuwa chama chetu kinapendwa na wananchi hivyo wengiwalijitokeza kiasi cha kuziba mapengo ya mamluki ambao kwa makusudihawajajitokeza siku ya kuhakikiwa. Pamoja na hayo tunatambua wanachama wetuwaaminifu waliotaka kujitokeza lakini sababu zilizo nje ya uwezo waozilipelekea washindwe kujitokeza siku ya kuhakikiwa.Mungu ibariki Tanzania.
0 comments: