Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kushoto), Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein (wa tatu kutoka kushoto), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Kaimu Mufti wa Zanzibar, wakiwa pamoja na wananchi wa Zanzibar katika Dua ya ya kukumbuka kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika jana Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
0 comments: