DUKA la kuuza Rasta za wakina Dada (Urembo) limevamiwa na watu waliosadikika kuwa majambazi, Tukio hilo lijiri maeneo ya Kariakoo jijini Dar Es Salaam,
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari ni kwamba majambazi waliojaribu kufanya jaribio hilo baadhi yao wameuwawa na baadhi, Idadi kamili endelea kufatilia hapa maana waandishi pamoja na wadau bado wapo katika eneo la tukio kufatilia kwa kina,
Saturday, March 29, 2014
MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI:MAJAMBAZI WAVAMIA DUKA LA RASTA ZA KINADADA KARIAKOO WAUWAWA PAPOHAPO. TAZAMA HAPA
at 2:50:00 PM |  No comments
Share
HIVI PUNDEPosted by Unknown
0 comments: