Katibu
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Dar es salaam,
Henry Kileo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo
juu ya mikakati mbalimbali ya chama hicho kulia ni Makamu Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Dar es salaam,
Benard Mwakyembe.
Makamu Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Dar es salaam,
Benard Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari juu wananchi
wanavyokosa habari wakati bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuto
kuonyesha matangazo ya chama chao
(Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii)
0 comments: