Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akikagua gadi maalumu
iliyoandaliwa na Maafisa na Askari wa Jeshi la Polisi Zanzibar
alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Jeshi hilo, mjini Magharibi
Zanzibar.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto meza kuu)
akizungumza na Maafisa Waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi
Zanzibar, Makamanda wa Polisi, Wakuu wa Upelelezi pamoja na Maafisa
Wanadhimu wa mikoa mitatu ya Unguja. Kulia meza kuu ni Kamishna wa
Polisi Zanzibar, Hamdani Omari Makame.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akipewa maelezo
na Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamdani Omari Makame (kulia) wakati wa
kikao chake na Maafisa Waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi
Zanzibar, Makamanda wa Polisi, Wakuu wa Upelelezi na Maafisa Wanadhimu
wa mikoa mitatu ya Unguja
0 comments: