Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF,
Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo
pichani) juu ya hali ya afya yake.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh.
Edward Lowassa, akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, mara
bade ya kumjulia hali katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
0 comments: