Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari pamoja na wadau
wengine wa habari wakijadiliana juu ya changamoto anuai zilizojitokeza
katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 na namna ya kuzikabili changamoto hizo.
Mjadala huo ulioandaliwa na taasisi ya Internews uli0fanyika Ofisi za
Internews jijini Dar es Salaam juzi
Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari pamoja na wadau
wengine wa habari wakijadiliana juu ya changamoto anuai zilizojitokeza
katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 na namna ya kuzikabili changamoto hizo.
Mjadala huo ulioandaliwa na taasisi ya Internews ulifanyika Ofisi za

Internews jijini Dar es Salaam juzi.
Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari pamoja na wadau
wengine wa habari wakijadiliana juu ya changamoto anuai zilizojitokeza
katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 na namna ya kuzikabili changamoto hizo.
Mjadala huo ulioandaliwa na taasisi ya Internews ulifanyika Ofisi za
Internews jijini Dar es Salaam juzi Mmoja wa wadau wa habari na mwanasheria (katikati) akifafanua jambo kwa washiriki wa mjadala huo. Wenceslaus Mushi kutoka Internews (wa kwanza kulia) akiwakaribisha washiriki wa mjadala huo kabla ya kuanza majadiliano.
Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari pamoja na wadau
wengine wa habari wakijadiliana juu ya changamoto anuai zilizojitokeza
katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 na namna ya kuzikabili changamoto hizo.
Mjadala huo ulioandaliwa na taasisi ya Internews ulifanyika Ofisi za
Internews jijini Dar es Salaam juzi.Mmoja wa wahariri (kulia) akichangia
jambo wakati wa mjadala wa wahariri na wadau wa habari juu ya
changamoto anuai zilizojitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 na namna ya
kuzikabili.
0 comments: