Friday, November 7, 2014

WATU 12 WAMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA BASI LA SUPER AL JABIRI KUGONGA TRENI...kumradhi kwa picha utakazoziona hapa

at 2:14:00 AM  |  No comments










Basi la Super Aljabir baada ya ajali.

Basi hilo likiwa limepinduka.



Baadhi ya miili katika ajali hiyo ikiwa eneo la tukio.
Watu 12 wamefariki dunia papo hapo na wengine 45 wamejeruhiwa katika ajali ya basi mali ya kampuni ya al Jabir kugonga Treni ya Tazara katika eneo la Kiberege, Morogoro..Majeruhi wanapatiwa matibabu katika hospatali ya St Francis huku maiti zikiwa zimehifadhiwa katika hosptali hiyo hiyo......

Share
Posted by Unknown
About the Author

Write admin description here..

0 comments:

Text Widget

Blogger templates. Proudly Powered by Blogger.