Kwa
mujibu wa kamanda huyo, tukio hilo ni la juzi saa 10 jioni katika Kijiji cha Pipani
– Kiwangwa, Kata ya Kiwangwa tarafa ya Msata wilaya ya Bagamoyo.
“Pacha wa kwanza alipoona mwenzake amezama, alikwenda na kutaka kumwokoa mwenzake ndipo naye alipozama,” alisema Kamanda Matei na kuongeza kwamba miili yao ilikabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya maziko.
0 comments: