Hili ni bomu ambalo jioni ya June 16 2014 kwenye kijiji chaMdui kata ya Mawala wilaya ya Mtwara vijijini kwenye mkoa wa mtwara liliokotwana watoto waliokua wakicheza karibu na eneo la makaburi.Taarifa ilitolewaPolisi baadae ambapo baada ya wataalamu kuja na kuchunguza waligundua ni bomula kurusha kwa mkono ambalo lina namba TNT MORTAR BOMB 60MM,LOT SOL 618 ambapoPolisi kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi walichukua hatua za kiusalama nakwenda kulilipua porini.
0 comments: