Ofisa
Masoko wa shirika la Farm Africa Rahel Pazzia, kulia akiwakabidhi
mashine ya kukamua ufuta wana kikundi wa wakulima wa ufuta wa kikundi
cha Faraja na Chemchem kwenye Kijiji cha Vilima Vitatu, Wilaya ni Babati
Mkoani Manyara
Wakulima wa ufuta wa vikundi vya Mkombozi na Shamabo wa Kijiji cha Shaurimoyo, Kata ya Mwada Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, wakiwa na mashine yao ya kukamulia ufuta iliyotolewa na shirika la Farm Africa, ambapo shirika hilo liligawa mashine 10 kwa vikundi 18 vya ufuta katika Tarafa ya Mbugwe.

0 comments: