Baadhi ya watu waliokuwa jirani na kambi hiyo, walisema baada ya kuharibika kwa kazi hiyo, wahandisi wenzake kutoka China, walianza kumtenga hali iliyomfanya ajione kuwa mpweke na hatimaye kuchukua uamuzi huo.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo alisema tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita ndani ya kambi ya kampuni hiyo.
Alisema mwili wa marehumu ulikutwa ukining’inia kwenye dari ndani ya chumba alichokuwa analala na kwamba polisi wanaendelea na uchunguzi wa kina kuhusu tukio hilo.
0 comments: