NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Thursday, April 10, 2014
Tanzania imefutilia mbali usajili wa NGO's inayohamasisha Ushoga.
at 12:33:00 AM | 
No comments
Vitendo vya mapenzi ya jinsia moja vinapingwa sana katika mataifa ya Afrika.
Serikali ya Tanzania imefutilia mbali usajili wa shirika moja lisilokuwa la kiserikali kwa sababu ya kuhamasisha mapenzi ya jinsia moja katika jamii.Shirika hilo kwa jina Sisi Kwa Sisi lilisajiliwa baada ya kudai kuwa malengo yake yalikuwa ni kusaidia jamii. Tanzania imesema imechukua hatua ya kufutilia mbali usajili wa shirika hilo kwa kukiuka sheria za nchi na kwenda kinyume na malengo ya usajili wake.Mkurugenzi wa usajili wa mashirika yasiyo ya Kiserikali nchini Tanzania, Maseli Katemba, amesema kuwa shirika hilo la Sisi kwa Sisi limekiuka malengo yake ya awali ya kuwapa elimu na misaada ya kifedha wananchi lakini mambo yakawa tofauti."Baada ya kufuatilia tumegundua kuwa sasa wanatilia mkazo kuwasaidia watu wa jinsia moja," alisema Bwana Katemba.Bwana Katemba amesema kuwa Serikali itaendelea na kuyasaka makundi mengine kama hayo ambayo yanaendesha maswala yaliyo kinyume na sheria za Tanzania.
Na BBC
Share
MATUKIO
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
HII NI AJALI MBAYA SANA ILIYOHUSISHA MABASI 2 KUGONGANA USO KWA USO NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU 30 PAPOHAPO..Samahani kwa picha
KWENYE MECHI YA SIMBA NA YANGA KUNA VITUKO...Hivi ndivyo ilivyokuwa Bofya hapa ujioneeeee
Mkutano wa Ulaya na Afrika waanza Brussels
MWIGULU NCHEMBA AANZA SAFARI YA KUHAKIKISHA WAFUGAJI WANAACHA KUFUGA KIHOLELA,WAFUGE KWA VITALU.
Tazama HIVI NDIVYO MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YALIVYOFANA....Bofya hapa.....
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: