Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Gerson
John Mdemu kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Gerson
John Mdemu kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Gerson John Mdemu wa pili
kutoka kushoto. Wengine katika picha ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi
John Kijazi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju na Mkurugenzi wa
Mashtaka (DPP) Biswalo Mganga mara baada ya tukio la uapisho kukamilika.
0 comments: