RAISI Kikwete akiwa katika gari la wazi akizunguka uwanjani kuwasalimia watanzania waliojitokeza kusherehekea miaka 50 ya MUUNGANO wa Tanzania |
wakiwapigia makofi makomandoo wa JWTZ walioonsha ukakamavu wa hali ya juu |
sehemu ya umati wa watu waliohudhuria uwanjani hapo wakiimbna wimbo wa TAIFA |
moja ya burudani iliyowakonga nyoyo watazamajio uwanjani hapo ni maaskari walioshuka kutoka kwenye ndege kwa kutumia parachuti kamaanavyoonekana pichani hapo juu |
makomandoo waliokonga nyoyo za wakazi wengi waliojitokeza kiwanjani hapo |
sweepers wakitoa heshima kwa bendera ya TAIFA |
PICHA YA KIFARU |
0 comments: