Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe. Philip Mangula akizungumza na Timu ya
Wajumbe Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya waliomtembelea leo
ofisini kwake Lumumba jijini Dar es salaam.
Waangalizi
wa Uuchaguzi wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) wakimsikiliza kwa makini
Makamu Mwenyekiti wa CCM Mhe. Philip Mangula ofisini kwake Lumumba
jijini Dar es salaam.
Waangalizi
wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) wakizungumza na Makamu
Mwenyekiti wa CCM Mhe. Philip Mangula ofisini kwake Lumumba jijini Dar
es salaam .Kikao hicho pia kilihuzuliwa na Kaimu Mkuu wa Idara Mambo ya
Siasa na Uhusiano wa Kimataifa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya
CCM, Dkt. Pindi Chana.
Timu
hiyo ya Waangalizi wa Umoja wa Nchini za Ulaya ilikuwa na ujumbe wa
watu watano ambao ni Mhe. Judith Sargetini, Mbunge na Kiongozi Mkuu wa
Waangalizi, Ms Tania Marques Naibu Kiongozi wa Waangalizi, Balozi
Roeland Van De Geer (Balozi wa Umoja wa Nchi za Ulaya), Ms Luana Reale,
(Kansela) na Ms Anna Constatini (Mwambata wa Masuala ya Uchaguzi)
0 comments: