Thursday, July 14, 2016

Serikali yatoa ufafanuzi juu ya kupatikana kwa wachapishaji wa nyaraka bandia za serikali.

at 11:36:00 AM  |  No comments

http://nicemediaworkstz.blogspot.com/
Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Bw. Kassian Chibogoyo akionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) moja ya cheti cha elimu ya juu ambacho kimepatikana toka kwa wachapishaji wa nyaraka bandia za Serikali mapema hii leo jijini Dar es Salaam.http://nicemediaworkstz.blogspot.com/
Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Bw. Kassian Chibogoyo akionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) moja ya cheti cha ndoa ambacho kimepatikana toka kwa wachapishaji wa nyaraka bandia za Serikali mapema hii leo jijini Dar es Salaam.http://nicemediaworkstz.blogspot.com/
Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Bw. Kassian Chibogoyo (katikati) akionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) baadhi ya nyaraka bandia za serikali zilizopatikana toka kwa wachapishaji wa nyaraka bandia za Serikali mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Afisa habari toka Idara ya Habari Bw. Frank Shija na kushoto ni Afisa Habari toka Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Augustino Tendwa.Picha zote na Eliphace Marwa - Maelezo.

Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Bw. Kassian Chibogoyo (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kupatikana kwa wachapishaji wa nyaraka bandia za serikali mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Afisa Habari toka Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Augustino Tendwa.
Waandishi wa habari wakimfuatilia kwa makini Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Bw. Kassian Chibogoyo wakati alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu kupatikana kwa wachapishaji wa nyaraka bandia za serikali mapema hii leo jijini Dar es Salaam

Share
, Posted by Unknown
About the Author

Write admin description here..

0 comments:

Text Widget

Blogger templates. Proudly Powered by Blogger.