Monday, July 4, 2016

Mabasi mawili yagongana na kusababisha vifo vya watu 29 Singida Tazama hihi

at 9:55:00 AM  |  No comments


Taarifa za awali ambazo zimeripotiwa hivi punde ni kuhusu ajali iliyohusisha mabasi mawili, Kamanda polisi mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka amesema ajali ya basi namba T 531 BCE likitokea Dar es salaam kwenda Kahama na T 247 lililokuwa linatoka kahama kwenda Dar es salaam yote ya kampuni moja ya City Boys yamegongana uso kwa uso na kusababisha vifo vya watu 24 papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa.
IMG-20160704-WA0027
.
IMG-20160704-WA0026 IMG-20160704-WA0028 IMG-20160704-WA0029 IMG-20160704-WA0031 IMG-20160704-WA0033 IMG-20160704-WA0036 IMG-20160704-WA0038

Share
, Posted by Unknown
About the Author

Write admin description here..

0 comments:

Text Widget

Blogger templates. Proudly Powered by Blogger.