Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizindua Jukwa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania na Akaunti ya
Malaika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam leo Juni
06,2016. 
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akiwa katika picha ya pamoja na watoto waliokua wakiishi katika
mazingira magumu wakati uzinduzi wa Jukwa la Uwezeshaji Wanawake
Kiuchumi Tanzania na Akaunti ya Malaika vilivyozinduliwa leo Juni
06,2016 katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akipokea zawadi ya CD yenye vipindi mbalimbali kutoka kwa watoto
waliokua wakiishi katika mazingira magumu kwenye uzinduzi wa Jukwa la
Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania na Akaunti ya Malaika
vilivyozinduliwa leo Juni 06,2016 katika ukumbi wa Mwalimu Julius
Nyerere Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akikabidhi cheti kwa mwakilishi wa kampuni ya simu za mikononi Zantel
kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo kuweza kufanikisha uzinduzi wa
Jukwa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania na Akaunti ya Malaika
vilivyozinduliwa leo Juni 06, 2016 katika ukumbi wa Mwalimu Julius
Nyerere Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akikabidhi cheti kwa mwakilishi Mkaazi wa UN Women Bibi Anna Pollins kwa
kutambua mchango uliotolewa na Shirika hilo katika kuwezesha
kufanikisha uzinduzi wa Jukwa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania
na Akaunti ya Malaika vilivyozinduliwa leo Juni 06, 2016 katika ukumbi
wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akibonyeza Laptop kuzindua Jukwa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi
Tanzania na Akaunti ya Malaika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere
Dar es salaam leo Juni 06,2016.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizindua Jukwa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania na Akaunti ya
Malaika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam leo Juni
06,2016.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akiwa katika picha ya pamoja na kutoka katika Tasisi mbalimbali
walioshiriki katika uzinduzi wa Jukwa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi
Tanzania na Akaunti ya Mlaika vilivyozinduliwa leo Juni 06,2016 katika
ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam. (Picha na OMR)
0 comments: