Rais
wa chama cha Wakunga Tanzania (TAMA) bi.Feddy Mwanga akizungumza leo
na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu maadhimisho ya siku ya
mkunga duniani yatakayofanyika kesho , jijini Dar es Salaam, Kulia ni
Katibu Mkuu wa Chama cha Wakunga Tanzania Dkt. Sebalola Leshabari .
Katibu
Mkuu wa Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA) Dk. Sebalola Leshabari
akiwasilisha maada katika mkutano wa kuelekea maadhimisho ya Mkunga
Duniani, uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Sehemu
ya wadau mbalimbali waliofika kwenye mkutano wa kuelekea maadhimisho ya
siku ya mkunga duniani, uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.(Picha na
Emmanuel Massaka wa Globu, Jamii)
0 comments: