Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CHADEMA na
kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe wakati alipokwenda kumpa pole
kufuatia kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe,
nyumbani kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo
cha kaka yake Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa Upinzani Bunge,
Freeman Mbowe (kulia kwake) wakati alipokwenda kumpa pole kufuatia
kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe, nyumbani
kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na
wanafamilia wakati alipokwenda kumpa pole Mwenyekiti wa CHADEMA na
kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe kufuatia kifo cha kaka
yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe, nyumbani kwa marehemu,
Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mwanasiasa
mkongwe,Kingunge Ngombale- Mwiru wakati alipokwenda kumpa pole
Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe
kufuatia kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe,
nyumbani kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments: