Naibu
Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson
akiwahutubia baadhi ya Wabunge kutoka nchi mbalimbali za Afrika wakati
wa Mkutano wa kujadili namna gani nchi za Afrika zinavyoweza kupinga
biashara haramu ya silaha, leo Jijini Dar es Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Ramadhani Mwinyi akiwahutubia baadhi
ya Wabunge kutoka nchi mbalimbali za Afrika wakati wa Mkutano wa
kujadili namna gani nchi za Afrika zinavyoweza kupinga biashara haramu
ya silaha, leo Jijini Dar es Salaam.
Mratibu
kutoka Umoja wa Mataifa Bwana Alvaro Rodriguez akiwahutubia baadhi ya
Wabunge kutoka nchi mbalimbali za Afrika wakati wa Mkutano wa kujadili
namna gani nchi za Afrika zinavyoweza kupinga biashara haramu ya silaha,
oleo Jijini Dar es Salaam.
(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO)
0 comments: