Friday, January 22, 2016

Hii imetia fora:-Mapokezi ya Rais Magufuli Arusha Tazama picha hizi...

at 5:14:00 AM  |  No comments

ANDREA NGOBOLE


1  1
2
3
4
5
6
8
9
10
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Picha Tofauti tofauti alipopokelewa na maelfu ya wananchi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Kimatafa Mkoani Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya Kuelekea Mkoani Arusha katika ziara yake atakayoifa Mkoani hapa kwa Siku Tatu. Picha na Woinde Shizza

Share
Posted by Unknown
About the Author

Write admin description here..

0 comments:

Text Widget

Blogger templates. Proudly Powered by Blogger.