Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Zulmira Rodrigues (kulia) akitoa neno la ukaribisho kwa wadau wa sekta ya elimu wakati wa hafla ya kukabidhi kitabu cha mafunzo ya Tehama kwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu nchini kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Katikati ni mgeni rasmi Kamishina wa Elimu, Profesa Eustella Bhalalusesa aliyemwakilisha Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof. Sifuni Mchome. Kushoto ni Ofisa wa Ubalozi wa China, LIU Yun.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog)
Friday, September 11, 2015
UNESCO WAKABIDHI KITABU CHA MAFUNZO YA TEHAMA KWA SERIKALI NCHINI
at 12:03:00 AM |  No comments
Share
MATUKIOPosted by Unknown
-
HATIMAE LUKUVI AFAFANUA KUHUSU KAULI ZAKE ZILIZOMFANYA ASHUTUMIWE NA WAPINZANI...Soma hapa...
-
Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi Muhidini Ngurumo....
-
Mh.HAWA GHASIA AZINDUA RIPOTI YA MAENDELEO YA BINADAMU MKOANI ARUSHA..Soma hapa
-
HII NDIO HOTUBA YA MHE. WAZIRI MKUU MAJALIWA ALIYOITOA LEO TRH 22.04.2016
-
MASANJA MKANDAMIZAJI MSANII MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA..SOMA HAPA.
0 comments: