Kwa
Taarifa ambazo Bado Hazijathibitishwa Rasmi zinasema kwamba kuna
Shehena kubwa ya Milipuko ya hatari inayotumika kutengenezea Mabomu ya
Kuvulia samaki kwa kuwa inaweza ikahimili hata ndani ya maji na Kwa
ajili ya Kutengenezea Milipuko ya kupasulia Miamba Migumu Imekamatwa
Eneo la Korogwe Mchana Huu Wakati wa Jeshi la Polisi walipokamata Basi
la KLM EXP lenye usajili wa namba T491 ARB kwa ajili ya Ukaguzi.
Milipuko hiyo ambayo imesafirishwa kwa njia ambayo sio sahihi kutokana
na hatari yake ya kuwa kulikuwa na abiria na kama Basi Lingetingishika
zaidi Ingeweza Kulipuka .
0 comments: