Wahitimu wa chuo cha uandishi wa Habari na utangazaji Arusha wakiingia ukumbini kuhudhuria sherehe za mahafalinya tisa yaliyofanyika katika ukumbi wa PPS uliopo JR mbauda jijini Arusha |
wahitimu hao wakiimba wimbo wa Taifa la Tanzania |
baadhi ya wakufunzi wakimsikiliza mgeni rasmi akiwaasa wahitimu kuzingatia maadili ya uandishi wa habari katika mahafali hayo |
mgeni rasmi katika mahafali hayo akihutubia wahitimu na wageni waalikwa |
Baadhi ya wafanyakazi wa Ajtc waliohudhuria katika mahafali hayo wakimsikiliza mgeni rasmi alipokuwa akihutubia katika mahafali hayo |
MADAM Neema Mwaipela akiwakaribisha wageni waalikwa katika mahafali hayo |
wahitimu hao wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi |
Emmanuel Ndanshau ambaye alijinyakulia tuzo ya kiongozi bora katika mahafali hayo akimsikiliza kwa makini mgeni rasmi m |
Makamu mkuu wa chuO ELIFURAHA SAMBOTO kushoto akimkabidhi tuzo mgeni rasmi Fredrick Mwamburi mwenye joho jekundu ambaye ni meneja wa triple A fm ya jijini Arusha |
0 comments: