Thursday, December 4, 2014

TUZO ZA WANAMICHEZO BORA..TASWA YAPITIA MAJINA YA WATU WALIOTANGAZWA KUWANIA...Yapitie hapa...

at 10:12:00 PM  |  No comments

KAMATI ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilikutana Dar es Salaam jana na kupitia majina ya wanamichezo waliopendekezwa kuwania tuzo hizo.

Share
Posted by Unknown
About the Author

Write admin description here..

0 comments:

Text Widget

Blogger templates. Proudly Powered by Blogger.