Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo
Ahmed Kipozi akimkaribisha Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kyle Peters
alipotembelea miradi ya TASAF wilayani humo. Kushoto kwake Mkurugenzi Mtendaji
wa TASAF Ladislaus Mwamanga.
Makamu wa Rais wa Benki ya
Dunia Kyle Peters akiangalia miche ya machungwa iliyooteshwa na mmoja wa
walengwa wa mpango wa kunusuru kaya masikini PSSN katika kijiji cha BUMA wilaya
ya Bagamoyo mkoani Pwani
0 comments: