Kwa
taarifa ya kusikitisha tuliyo ipata muda huu ambayo bado
haijathibitishwa inadai kwamba kuna ajali mbaya imetokea katika eneo la
Mbele ya Tengeru jirani na Daraja walipo kata migomba ambapo imehusisha
gari la daladala ambayo inasemekana kulikuwa na abiria ndani na wengi
wamepoteza maisha.
0 comments: