NiceMediaWorks
Home
Posts
Email
MATUKIO
HABARI
MAGAZETI
MAKALA
BURUDANI
AFYA
PRODUCTION
INJILI
Style Icons
MAWASILIANO
Top 10 List
Monday, July 14, 2014
HIVI NDIVYO ZILIVYOFANA SHEREHE ZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 75 TANGU KUANZISHWA KWA KANISA LA T.A.G..Habari picha..
at 2:01:00 AM | 
No comments
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amekabidhiwa tuzo na Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God (TAG) Dkt Barnabas Weston Mtokambali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 75 ya kanisa hilo katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya leo Julai 13, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha Tanzania Assemblies of God (TAG) akiwa na Askofu Mkuu wa TAG Dkt Barnabas Weston Mtokambali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 75 ya kanisa hilo katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya leo Julai 13, 2014
Rais Jakaya MrishoKikwete akihutubia maelfu ya wananchi kwenye kilele cha Sherehe za Miaka78 ya kanisa la Tanzania Assemblies of God katika uwanja wa Kumbukumbu yaSokoine jijini Mbeya leo Julai 13, 2014
" Ukiwa na tukio lolote tutumie kwa email yetu,
elihurumachao@gmail.com
Matukio yenye picha yatazingatiwa
Share
MATUKIO
Posted by Unknown
About the Author
Write admin description here..
«Newer Post
Older Post»
0 comments:
About Me
Unknown
View my complete profile
NiceMedia. Powered by
Blogger
.
BOFYA HAPA LIVE NICEMEDIA RADIO
Radio ya Injili inayoburudisha na Kuelimisha
Popular
Recent
Comments
Tags
Popular Posts
UMEIPATA HII..JAMAA ALA KICHAPO BAADA YA KUHISIWA NA WANACHAMA KWENYE MKUTANO WA UKAWA..Ingia hapa..
NICE STUDIO YA JIJINI ARUSHA YAPANIA KUWAINUA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI.Tazama hapa.....
SERIKALI NA TTCL KUMILIKI KWA PAMOJA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO.
WATU MAARUFU WA WAFIKA KUUAGA MWILI WA KAPTENI JOHN KOMBA HAKIKA ALIKUWA MTU WA WATU...Tazama hapa
UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI..UNGO HUU UNATUMIKA KUANGALIA MPIRA LIVE KUTOKA BRAZIL..Tazama hapa..
Labels
Afya
BURUDANI
Favourite
Gear
HABARI
HABARI ZA INJILI
HIVI PUNDE
MAGAZETI
MAKALA
MATUKIO
nice studio
SIASA
slider
TANGAZO
Nice Media work Tz
Latest tweets
Latest Videos From NiceMedia Prod.
Search
BLOG RAFIKI
Udaku Special
MillardAyo
Jiachie
Text Widget
© 2013
NiceMediaWorks
.
Woo Themes
converted by
Bloggertheme9
Blogger templates
. Proudly Powered by
Blogger
.
0 comments: