Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigalla akiongea na baadhi ya wachungaji na waumini wa kanisa la Moravian kuwaomba wafunguo ofisi hizo ili mazungumzo yafanyike |
Mmoja wa wachungaji hao, Edward Chilale akiongea na Baadhi ya waandishi wa habari |
Moja ya waumini wa kanisa hilo akifungua mnyororo uliofungwa ofisini kwa Askofu |
Add caption
BUNDI mweusi amezidi kulikumba Kanisa la
Moravian Jimbo la Kusini Magharibi kufuatia mgogoro wa muda mrefu ambapo safari
hii baadhi ya waumini na wachungaji walitaka kufunga ofisi za Jimbo hilo
wakishinikiza kujiuzulu kwa Askofu, Alinikisa Cheyo.
Fuatilia hapa kwa taarifa kamili... Kikosi kazi cha mbeya yetu tupo Live sasa. |
0 comments: