Tuesday, June 3, 2014

RAIA ASIYE NA HATIA AUAWA KIKATILI NA MAJAMBAZI..Kumradhi kwa picha zinatisha sana

at 2:04:00 AM  |  No comments

http://nicemediaworkstz.blogspot.com/

 



habari zinasema Huyu baba alikuwa church katoka kaacha watoto ktk gari akawa ameenda kununua gazeti wakati ananunua akaona majamaa wawili wanamzonga mdada wa bureau akaenda kumsaidia kumbe kulikuwa na majamaa mengine ktk pikipiki wakaona mzee anawaletea wenge ndo wakamshindilia za kutosha mh majanga.








Share
Posted by Unknown
About the Author

Write admin description here..

0 comments:

Text Widget

Blogger templates. Proudly Powered by Blogger.