Kamishna kova leo alipoamua kuitoa hadharani picha ya mtuhumiwa huyo mbele ya wanahabari ili apatikane mara moja |
Jeshi la Polisi Kanda Maalum
D’Salaam limefanikiwa kumbaini mtuhumiwa muhimu ambaye ni kinara wa mtandao wa wizi
katika mabenki ambaye anajulikana kwa jina la RONALD S/O MOLLEL umri miaka 37,
mfanyabishara na mkazi wa Kimara Bonyokwa Jijini D’salaam.
RONALD S/O MOLLEL ambaye ni mtuhumiwa wa ujambazi katika mabenki mbalimbali hapa jijini dar es salaam |
0 comments: